Msaada: Wanakofundisha Karate maeneo ya Tabata

Nassib Ws

Senior Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
170
Reaction score
115
Habarini wana jamvi?

Naomba mwenye kufahamu wapi maeneo ya Tabata na maeneo ya jirani kama vile Buguruni au hata Gongo la Mboto sehemu wanayofundisha karate.

Nawasilisha
 
Nenda kiwalani kwa Sensei Yahya mgeni ,mjumbe wa Tashoka,muasisi na rais wa international shotokan karate federation ,hakika utaiva vzr

Anatoa mafunzo kiwalani markaz kule,buguruni pia analo dojo anafundisha

Kazi kwako
 
Habarini wana jamvi?

Naomba mwenye kufahamu wapi maeneo ya Tabata na maeneo ya jirani kama vile Buguruni au hata Gongo la Mboto sehemu wanayofundisha karate.

Nawasilisha
Kwa Scorpion pale pamefungwa kwani??
 
Habarini wana jamvi?

Naomba mwenye kufahamu wapi maeneo ya Tabata na maeneo ya jirani kama vile Buguruni au hata Gongo la Mboto sehemu wanayofundisha karate.

Nawasilisha
Kama hivi
9efaf0599c29365d505736b93d3ae40c.jpg
 
Tafuta mguu wa Kuku SAA ngapi mambo ya kuumizana na kupoteza nguvu zako kupiga Kwa kusogeleana ni mambo ya kizamani.yupo MTU anatoa mafunzo binafsi ya self defense mitaa hio ukimuhitaji nikupe mawasiliano nae
 
Kufikia hatua ya kutumia bastola mpaka kusiwe na namna yoyote nyingine, martial arts ni silaha ya mwili usio na silaha Bali ujuzi na utulivu wa fikra.
 
njoo masaki kuna gym tunafanya Capoera,muay Thai, kick boxing , jujitsu ....15000 per class
 
Kufikia hatua ya kutumia bastola mpaka kusiwe na namna yoyote nyingine, martial arts ni silaha ya mwili usio na silaha Bali ujuzi na utulivu wa fikra.
Kama mtu akikuvamia, kusudi lake nini? Si nikukuumiza au kukuua. Hapo unatoa bastola, tena unampa ya warning piga angani. Akileta ubabe, piga za kifuani mbili. Hatakama jamaa ni Bruce Lee, hapo unamnyamazisha. Mambo ya martial arts waachie watoto na watemi.

-callmeGhost
 
Umeshindwa hata kuangalia MAPICHA? tafuta mikanda ya don yen, bruce lee, jet li (hasa ule wa tai chi)
 
Back
Top Bottom