Habari za muda huu wana JF,
Nimeona kupata ushaur si vibaya nimesahau no ya sir ya akaunt ya Facebook halafu kwa bahati mbaya nikapoteza laini yangu sasa nilikuwa naitaji kuingia neno siri nilishasahau .
Je, nitafanyaje ili niweze ingia kwenye akaunti yangu.
Ushauri please!