mkuu niki connect na pc inaonyesha halafu inakata! vipi yaweza pona hyo...??
vipi mkuu simu imefaa?Jamani habari zenu?
Mi ni mzima kwa kweli, sasa mi nina samsusang galaxy s1 model s gti900 nimempa mtaalamu mmoja ani upgradie sasa ikatokea ikazima na imeshindwa kufanya connections na computer via usb. Tatizo naambiwa ni bootloader, so nifanye nini ili niweze kuiwasha kwa ajili ya kuiwekea rom. Msaada tafadhali....
Natanguliza shukrani za dhati!!!!
kumbe ku'upgrade ni hatari eeeh! nishagairi nltaka niupgrAde huawei y300
hivi ina wekana kuongeza ram ya simu.
ota ni safe (ku upgrade kutokea kwenye simu) ila wale wanaopenda kila rom wanayoiona iwe kwenye simu yao ndo mara nyingi haya majanga huwakuta