Kila unachokifanya fanya kwa ufanisi, ili uwe bora kwa hicho.....ila sio mambo yetu yaleeeee..hahahaha, miss chagga dah, I really miss ya........Ha ha ha ha dikembe kuanzia kesho siingii tena jf mpaka niwe wa.mwisho
Kila unachokifanya fanya kwa ufanisi, ili uwe bora kwa hicho.....ila sio mambo yetu yaleeeee..hahahaha, miss chagga dah, I really miss ya........
Mi nipo saaana...wewe ndio naona umeamua kufunga vioo baada ya kupewa zawa ya VEROSA kwenye birthday yako. Hongera sana........Sawa rafiki mpenzi umepotelea pori gani ?sikupati wala sielewi elewi still waiting urudi
Mi nipo saaana...wewe ndio naona umeamua kufunga vioo baada ya kupewa zawa ya VEROSA kwenye birthday yako. Hongera sana........
Haya mimi sina usemi, mnitenge tu.....namimi nasema hiviiiiiiiiii "Tusiwatupe ndugu zetu waliombali, tuwaliwaze na kuwafanya wajisikie wapo na sisi"....Sijafunga vioo naogopa kuharibu naona shemeji yangu kawa mkali
Aaaaah...mwenyeweee, kama nakuona vileee miss chagga
Kila unachokifanya fanya kwa ufanisi, ili uwe bora kwa hicho.....ila sio mambo yetu yaleeeee..hahahaha, miss chagga dah, I really miss ya........
Sawa rafiki mpenzi umepotelea pori gani ?sikupati wala sielewi elewi still waiting urudi
Mi nipo saaana...wewe ndio naona umeamua kufunga vioo baada ya kupewa zawa ya VEROSA kwenye birthday yako. Hongera sana........
Sijafunga vioo naogopa kuharibu naona shemeji yangu kawa mkali
Haya mimi sina usemi, mnitenge tu.....namimi nasema hiviiiiiiiiii "Tusiwatupe ndugu zetu waliombali, tuwaliwaze na kuwafanya wajisikie wapo na sisi"....
Ibada lazima iwe jumapili tu mkuu?
Huna habari mkuu?
binamu nasikia wanatoa tuzo mwisho wa mwaka
Tuzo bila hela binamu?? Waambie waweke hela tuanze kazi.