huyo "msela" wako ana umri gani?
huyo "msela" wako ana umri gani?
huyu kwanza ana umri gani?
mwafrika aliulizwa na mzungu hivi kwa nn ninyi waafrka mkiulizwa maswali huwa nanyi mnauliza mwafrka akanibu kwani we hayo maneno umeyasikia wapi...
naona unataka kukusanya DATA
nawaclisha......
mkuu mjamaa ana elimu ya chuo mwaka wa nne so unaweza gundua ni rika gani...
Atakua ana jini linaitwa "onja onja"