Mkuu we unaonekana ni
mwana ubongo fuleva! Habar zenyu ndio nini sasa? Pia umeandika kama tupo
facebook na wakati unajua kuwa humu ni kwa magreat thinkers, pia hilo
jina lako la
Masafanja limekaa kihuni sana,
unatka ukasomee hiyo kozi ili uwe unarekodi bongo movie na video za
ubongo fleva ambazo zinaharibu maadili ya nchi yetu!
Enewei:
Mkuu wangu
MSAfanja kuna chuo kipo Bagamoyo
hapo kinahusika na mambo ya kozi unayotaka kusomea.