C Chiclette Senior Member Joined Feb 17, 2024 Posts 138 Reaction score 227 Jun 11, 2024 #1 Hivi tunavyofanya application ya diploma kupitia nacte je ni chuo husika ndo kinachagua wanafunzi au nacte ndo wanakupangia chuo kama ilivyo kwa advance?
Hivi tunavyofanya application ya diploma kupitia nacte je ni chuo husika ndo kinachagua wanafunzi au nacte ndo wanakupangia chuo kama ilivyo kwa advance?