Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,992
Siwezi kuoa janamke lililozalishwa kamwe.
Never Ever Forever.
Usemalo ni kweli kbsa me binti ukimuona mashaallah huwez amin km amezaa ilibdi niombe mpk vyeti vya kuzaliwa age yke20yrz bado mbichi n umbile lake siihabaMungu hutupa mitihani kwa kutuzawadia vitu ambayo hatuvipendi. I promise utakuja tu kunasa kwenye huo mtego wala sasa hivi usiongee sana subiri yakukute. Utakutana na manzi ambaye amezalishwa watoto zaidi ya wawili halafu ukingalia kidume wewe ndiyo umekufa umeoza... I promise utakuja na ID mpya kuomba ushauri.
Sema nyie hamumjui ila yeye anamjua vizuriMalezi ya mtoto yapo kw wazaz wake toka mjamzito- Leo baba wa mtoto hajulikan
Baba wa mtoto hajulikani?... Sema wewe ndio humjui ila familia yake na yeye mwenyewe wanamjua na siku ukimuoa tu ukaanza kutekekeza majukumu na yeye ataibuka.Malezi ya mtoto yapo kw wazaz wake toka mjamzito- Leo baba wa mtoto hajulikan
Mungu hutupa mitihani kwa kutuzawadia vitu ambayo hatuvipendi. I promise utakuja tu kunasa kwenye huo mtego wala sasa hivi usiongee sana subiri yakukute. Utakutana na manzi ambaye amezalishwa watoto zaidi ya wawili halafu ukingalia kidume wewe ndiyo umekufa umeoza... I promise utakuja na ID mpya kuomba ushauri.
Kwa vile binaadamu sote ni wenye kufanya makosa kila siku kama alivyosema Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)Wewe Beef Lasagna acha kuhalalisha vilivyoharamishwa. Halafu wewe ni Muislamu kabisa. Nashangaa unatetea upumbavu kama huu.
Mwanaume anaanzaje kuoa mwanamke alozini akazalishwa.
Siwezi kuoa mwanamke mzinifu alozalishwa kamwe. Never. Ever. Forever.
Kila binadamu ana changamoto zake, wangapi wameoa wasio na watoto lakini wanajutia ndoa zao?N veep kuhusu changamoto
MashaallahKwa vile binaadamu sote ni wenye kufanya makosa kila siku kama alivyosema Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)
(كل بني آدم خطاء، و خير الخطائين التوابون)) حسن الألباني صحيح الجامع)
(Kila Binaadamu ni mkosa na mkosa mbora kabisa ni yule anayeomba toba)).
Kwa Rahma ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) hata binaadamu awe ana makosa vipi, huenda akafutiwa dhambi zake zote, kwa hiyo mtu asikate tamaa au kukhofu kuwa dhambi zake hazitofutwa.
(قُلْ يَا عِبَادِيَ الَّذِينَ أَسْرَفُوا عَلَى أَنفُسِهِمْ لَا تَقْنَطُوا مِن رَّحْمَةِ اللَّهِ إِنَّ اللَّهَ يَغْفِرُ الذُّنُوبَ جَمِيعًا إِنَّهُ هُوَ الْغَفُورُ الرَّحِيمُ))
(Sema: Enyi waja wangu waliojidhulumu nafsi zao, msikate tamaa na Rahma ya Allaah. Hakika Allaah husamehe dhambi zote. Hakika Yeye ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu)) Az-Zumar: 53
Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Ametuamrisha tumuombe toba katika Aayah nyingi za Qur-aan kama mfano wa Aayah zifuatazo:
(يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا تُوبُوا إِلَى اللَّهِ تَوْبَةً نَّصُوحًا))
(Enyi mlioamini! Tubuni kwa Allaah toba iliyo ya kweli)) [At-Tahriym: 8]
(وَتُوبُوا إِلَى اللَّهِ جَمِيعًا أَيُّهَا الْمُؤْمِنُونَ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ)
(Na tubuni nyote kwa Allaah, enyi Waumini, ili mpate kufanikiwa)) [An- Nuur: 31]
Usemayo n kweli swaiba wake na kaka angu wamekaa kwenye ndoa miaka 8 n mke wake mwezi Jan ndo wameachan yey alikuwa anajuakuw watoto wote 3 n wake kumbe wake n mmoja2 mwanamke kazaa n mwanaume mwingne wa njee watoto 2Mbona tunahukumu sana mwanamke kuzaa kabla ya ndoa?Hili nikosa tu kama makosa mengine na unapomkuta mwanamke huyu jaribu tu kufikiria ni kama mwanaume aliye zaa nje vilevile kabla ya ndoa,je nikweli mwanaume huyu asioe tena? Kama tunavyojudge upande wa mwanamke? ukimpenda na ukaridhika na tabia zake we muoe tu kila binadamu lazima ana mapungufu waweza pata ambaye hajazaa na akakuletea mtoto asiye wako wakati mpo ndani ya ndoa haya mambo ni kukumbushana na kuombeana kwa mungu.Hizi fikra na utashi tunaoona kwamba ni sahihi sio kipimo kamili kwenye ndoa,ndoa ni zaidi ya tunayofikiria nje.