8months lkn aliniambia kuwa alipatwa n mtihnMko katika mahusiano kwa muda gani? Nilivyoelewa kakwambia ana mtoto baada ya kuona hatua za kupeleka posa.
Kitu kingine baadhi ya wanawake ni waigizaji wazuri hasa linapokuja suala la ndoa, kuwa makini.
8months lkn aliniambia kuwa alipatwa n mtihn kam huo 1 month ndo tuaanza mahusiano lkn mpk Leo miez7Mko katika mahusiano kwa muda gani? Nilivyoelewa kakwambia ana mtoto baada ya kuona hatua za kupeleka posa.
Kitu kingine baadhi ya wanawake ni waigizaji wazuri hasa linapokuja suala la ndoa, kuwa makini.
You're intelligent...!Fuata moyo wako mkuu tabia hazina single maza humu masingo mama hawapendwi so hutapata muafaka zaidi utajazwa chuki
Thank youYou're intelligent...!
Muoe tuu haina, hiyo ya kupigwa mimba tena form 4 isikutie shaka alikua na akili za kitoto na ni mistake ikitokea, unless kama hujampenda maana hii sio issue kama kweli umefall in love kwake.
Rama mapenzi najua hayashauriki, pia ww hutakua wakwanza kuoa mke alozaa.so kikubwa twaomba kheri. Mpe hi bibie
Unaweza ukamtafuta Asiye na mtoto Ukaja kujuta baadae. Mapenzi ni kama maua huota popote. Km mnapendana na ushamuelewa tabia yake fanya maamuzi ya kumuoa. Km ni makosa alifanya Zamani Sasa kajirekebisha na anajitambua hawez Kurudi Kosa
Tabia Zak n njema ameishika dini vlivyo lkn nahitaji kujua ni chanagamoto zipi walizonazo wanawake Wenye watoto wakiwa kwenye ndoa
Tabia Zak n njema ameishika dini vlivyo lkn nahitaji kujua ni chanagamoto zipi walizonazo wanawake Wenye watoto wakiwa kwenye ndoa
Unajua mkuu MTU anapojikwaa ndo huwa anangalia ni wapi aegemee baada yakuzaa ndo akapata kuishika dini vilivyo Hata kwao wamwishika dini vyema lkn yy alipomaliza shule ikabdi akamtembelee kak ake ndo ikawa hvyoWewe Rama Q acha uboya wewe.
Angekua ameshika dini vilivyo asingekubali kuvuliwa chupi na kuzini kama haitoshi hadi anazalishwa.
Hapo hakuna mshika dini.
Yeah usemalo nkweli lkn mtoto ataishi kwao na malezi yapo kwa wazazi wake japo ganji lazima kupigwaTatizo lile jamaa lililo mkimbia likirudi kwa magoti na kumlilia uyo mama na mtoto wake, wanawake huwa wanahuruma sana.. jipange kisaikolojia tarajia siku moja kusikia jamaa karudi anataka mwanae..
Me hajulikan 4yrs agoYaani bora wewe mahusiano yao hayapo tena mimi wangu wanawasiliana mara kwa mara.
Siku ya birthday ya Mtoto nikamnunulia keki kama surprise nafika nyumbani simkuti mtoto wala mama napiga simu ananijibu.
"Baba J.... kaja kutuchukua tunaenda kusherehekea"
Huyo binti we oa kabisa