Fuata moyo wako mkuu tabia hazina single maza humu masingo mama hawapendwi so hutapata muafaka zaidi utajazwa chukiTabia Zak n njema ameishika dini vlivyo lkn nahitaji kujua ni chanagamoto zipi walizonazo wanawake Wenye watoto wakiwa kwenye ndoa
Unaweza ukamtafuta Asiye na mtoto Ukaja kujuta baadae. Mapenzi ni kama maua huota popote. Km mnapendana na ushamuelewa tabia yake fanya maamuzi ya kumuoa. Km ni makosa alifanya Zamani Sasa kajirekebisha na anajitambua hawez Kurudi KosaNilijaribu kumzingua kuhusu hilo aliugua week mbili mfululizo ikabdi nirudishe Moyo ndo akatulia
Nampenda kiukweli lkn yy ananipenda xn nilimuwekea vikwazo juu y hilo aliugua week mbili mfululizo hadi nikamuonea huruma nilipojirudi ndo akapta nafuuMuoe tuu haina, hiyo ya kupigwa mimba tena form 4 isikutie shaka alikua na akili za kitoto na ni mistake ikitokea, unless kama hujampenda maana hii sio issue kama kweli umefall in love kwake.
Ahsante nimekuelewa vyema!Unaweza ukamtafuta Asiye na mtoto Ukaja kujuta baadae. Mapenzi ni kama maua huota popote. Km mnapendana na ushamuelewa tabia yake fanya maamuzi ya kumuoa. Km ni makosa alifanya Zamani Sasa kajirekebisha na anajitambua hawez Kurudi Kosa
Kumbe mnajuaga kua mapenzi huchanua popote?kwa single maza, flat screen, migumegume ila kwa wanaume wasio na hela hayachanui?Unaweza ukamtafuta Asiye na mtoto Ukaja kujuta baadae. Mapenzi ni kama maua huota popote. Km mnapendana na ushamuelewa tabia yake fanya maamuzi ya kumuoa. Km ni makosa alifanya Zamani Sasa kajirekebisha na anajitambua hawez Kurudi Kosa
Ahsante xn mkuu lkn aliyempa ujauzito alimkimbia n mawasiliano hayapo mwanaume inasadikika nipasua kichwa aliikan mimba n akatimuaDogo kma uyo alomtia mimba akazaa yupo, usioe nakushauri. Utamtubzia jamaa tu. Huwa hawaachani, na usishangae siku anakuaga kumpeleka mtoto kwa baba ake, au kidume kinakuja hapo home kumuangalia mwanae.
Pia huenda wamuona ni mwema mana anajiona anamzigo wa mtoto .
Vuta subra ndoa sio baraza la magu kma utatumbua na kutwua kila siku hasa wakristo
Rama mapenzi najua hayashauriki, pia ww hutakua wakwanza kuoa mke alozaa.so kikubwa twaomba kheri. Mpe hi bibieAhsante xn mkuu lkn aliyempa ujauzito alimkimbia n mawasiliano hayapo mwanaume inasadikika nipasua kichwa aliikan mimba n akatimua
Wewe naye usituharibie thread kama kutoa Ushaur unashindwa, katafute thread za mipasho hii naona umepotea njia.Kumbe mnajuaga kua mapenzi huchanua popote?kwa single maza, flat screen, migumegume ila kwa wanaume wasio na hela hayachanui?
Akili ndogo kabisa kutumika
huu ujumbe unitumie kw WhatsAppWewe naye usituharibie thread kama kutoa Ushaur unashindwa, katafute thread za mipasho hii naona umepotea njia.