Wikiliki JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 528 Reaction score 141 Apr 8, 2011 #1 Kwa yeyote anayejua namna ya ku download video kwa kutumia yuotube downloader ninaomba anifundishe na je ni URL zipi ambazo zinasuport.
Kwa yeyote anayejua namna ya ku download video kwa kutumia yuotube downloader ninaomba anifundishe na je ni URL zipi ambazo zinasuport.
Baba Mtu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2008 Posts 870 Reaction score 170 Apr 8, 2011 #2 Wikiliki said: Kwa yeyote anayejua namna ya ku download video kwa kutumia yuotube downloader ninaomba anifundishe na je ni URL zipi ambazo zinasuport. Click to expand... Ipeleke habari hii katika jukwaa la sayansi na teknolojia ndio utapata msaada zaidi. Au unaweza kutafuta post inayofanana na post yako, ziko post kama hii ambazo tayari zimepatiwa ufumbuzi
Wikiliki said: Kwa yeyote anayejua namna ya ku download video kwa kutumia yuotube downloader ninaomba anifundishe na je ni URL zipi ambazo zinasuport. Click to expand... Ipeleke habari hii katika jukwaa la sayansi na teknolojia ndio utapata msaada zaidi. Au unaweza kutafuta post inayofanana na post yako, ziko post kama hii ambazo tayari zimepatiwa ufumbuzi