Msaada Wana JF: Ninauitaji wa kazi Abroad Hata kama UAE kule wanapo kwenda dada zetu kufanya kazi.

vfsuccessfully

Senior Member
Jul 16, 2017
180
64
Habari zenu Wana Jamvi...

Mimi ni kijana wa kitanzania hali yangu yaki uchumi ni ngumu kwa sasa ndo maana natafuta kazi hata nje ya nchi maana hapa nimesha angaika sana hata nimeona kua nifanye kazi yoyote ile hata kama si professional ili mladi ili ini ingizie kipato natumaini wapo watakao nisaidia humu jamii forum kwa hizo nchi za UAE nipate kazi hata kama ni house keeper mimi nitafanya.
Napia ninayo hati ya kusafiria yani(Passport) napia ninayo ID ya uraia .Asante....
namba yangu 0656143546
 
Namba yangu ya simu 0656143546
 
Dah....mwana....Emirates wametangaza nafasi kibao za urubani...changamka!
 
Huko kwa Waarabu watakuchinja.

Sio mara moja dada zetu wa kiafrika wakienda huko wananyanyaswa sana na kuuawa.

Wa mwisho juzi akidondoshwa ghorofani mpaka chini.
 
Ni hatari kujitoa mhanga ki hivyo.... Bongo imekushinda kupata hata 3000 kwa siku? Pitia nyuzi za Ujasiliamali Utajifunza kitu
 
Habari zenu Wana Jamvi...

Mimi ni kijana wa kitanzania hali yangu yaki uchumi ni ngumu kwa sasa ndo maana natafuta kazi hata nje ya nchi maana hapa nimesha angaika sana hata nimeona kua nifanye kazi yoyote ile hata kama si professional ili mladi ili ini ingizie kipato natumaini wapo watakao nisaidia humu jamii forum kwa hizo nchi za UAE nipate kazi hata kama ni house keeper mimi nitafanya.
Napia ninayo hati ya kusafiria yani(Passport) napia ninayo ID ya uraia .Asante....
namba yangu 0656143546
Mkuu hongera sana,napenda watu kama ninyi mnaofight ila fanya yote usiende UAE nakuomba sana.
 
Back
Top Bottom