Habariwwanajukwaa? naomba msaada katika simu yangu ya huawei ascend y330, jana nili root simu kwa kutumia kingo root lakini baada ya ku root nashindwa kuingia play store kwa kuleta ujumbe wa "no network,retry" pia napata ujumbe huu "UNFORTUNATELY,GOOGLE PLAY SERVICES HAS STOPPED" naomba msaada wenu watu jukwaa,,aksante
Nawezaje kufuta play store maana sipati option ya Ku unistall?