Msaada: Wale wenye yard za kuuza magari.

Likwanda

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2011
Posts
3,930
Reaction score
1,162
Natafuta Suzuki Carry yenye sifa zifuatazo; km chini ya 70000, iwe pick up, Rangi nyeupe, imelipiwa ushuru na usajili. Bajeti yangu ni 6.3M. Kama kuna m2 anaweza kuniuzia ani PM tafadhari.
 
Natafuta Suzuki Carry yenye sifa zifuatazo; km chini ya 70000, iwe pick up, Rangi nyeupe. Bajeti yangu ni 6.3M. Kama kuna m2 anaweza kuniuzia ani PM tafadhari.
Ninayo,
Imeingia mwezi wa tisa Mwaka huu, Leta 7.0Mil
 
Natafuta Suzuki Carry yenye sifa zifuatazo; km chini ya 70000, iwe pick up, Rangi nyeupe, imelipiwa ushuru na usajili. Bajeti yangu ni 6.3M. Kama kuna m2 anaweza kuniuzia ani PM tafadhari.

una mil 7 nikuletee?

imetembea km 36000 tu
 
Wakuu, bado sijapata, hivyo nasubiri msaada wenu na hata kama kuna HIJET nayo itafaa.
 
Natafuta Suzuki Carry yenye sifa zifuatazo; km chini ya 70000, iwe pick up, Rangi nyeupe, imelipiwa ushuru na usajili. Bajeti yangu ni 6.3M. Kama kuna m2 anaweza kuniuzia ani PM tafadhari.

Nenda kaulize kwenye yard iliopo opposite na kanisa la kakobe mwenge utapata kwa hiyo bei
 
Wakuu, nashukuru kwa moyo wenu wakunisaidia. Hatimaye nimepata suzuki carry kutoka kwa mdau mmoja pale sinza palestina na nimeridhika nayo hivyo kesho tunakamilishiana niichukue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…