msaada wakuuu

mreno meela

Member
Joined
Feb 10, 2015
Posts
37
Reaction score
5
naombeni mnsaada wa mawazoo kwa mwanamke mjamzito kushindwa kula na anatapikaa
 
mpeleke hospitali ya maana akaanzishiwe dozi, sio zahanati za vichochoroni
 
Kaka nenda pale mwenge kuna cliniki ya wakinamama wajawazito pale wako vizuri balaa au ni pm me mwenyewe mkewangu alikuwa na tatizo kama hilo ila thanx god sahv yupo vizuri njoo pm mpwa tusaidiane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…