Msaada wakuu

Msaada wakuu

OCTECH

Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
10
Reaction score
2
Tatizo :Simu ya nokia haisomi laini nilipeleka kwa fundi nikaambiwa tatizo housing na motherbord nikanunua bado ikawa haisomi nikapeleka kwa fundi mwngine akanambia shida ni IC sasa nahitaji ushauri kabla sijanunua hiyo ice coz nimeona mafundi ni wababaishaji sana wanafanya vitu kwa kubabaisha!

NOKIA
Nokia corporation
IMEI:359039/04/561696/3
CODE:059F0D5
FCC ID:QFXRM-745

Made in korea
CE0434
Type:RM-745
Model:C5-00.2
 
labda kama unazungumza wa dar wengi wasanii sema model yako tukupe majibu
 
Tatizo :Simu ya nokia haisomi laini nilipeleka kwa fundi nikaambiwa tatizo housing na motherbord nikanunua bado ikawa haisomi nikapeleka kwa fundi mwngine akanambia shida ni ice sasa nahitaji ushauri kabla sijanunua hiyo ice coz nimeona mafundi ni wababaishaji sana wanafanya vitu kwa kubabaisha!

Ni IC mkuu sio Ice
 
Back
Top Bottom