msaada wakuu.

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,757
kuomba msaada hasa pale unapobanwa sio ufala.haya watumiaji wa smartphones mpo?shida yangu ni maelekezo ya kuweza kuhamisha data toka ktk phone storage kwenda sd card.nazungumzia apps ambazo zimekuja sambamba na cm.mfano fb,googl map,whatsapp n.k.zenyewe zinahitaji updates tu toka google store.lakini kila nika updates apps mbili au zaidi naambiwa phone memory is full.sasa nataka nizihamishie kwenda sd card ila nashindwa.sd card capacity is 7GB.natunguliza shukrani.
 
...usiningoje ila ntarudi...
 
Uelewa wangu...

"Kuna app ambazo huwa hazi support kukaa kwenye external device kama hizo ulizoziongelea na wana maana yao kuziweka hivyo ikiwemo ya kuweza kuifanya app kuanza ku run pale unapoiwasha simu yako na kuweza kutunza kumbukumbu kwa uhakika.

Ukiweka app kwenye SdCard kuna wakati simu inaweza kuwaka na usiione app flani sababu tuu ipo kwenye external device (SdCard)

Hivyo jibu ni kwamba Hamna jinsi ya kuzihamisha app hizo ndio maana option hiyo haifanyi kazi ila waweza ongeza nafasi kwa kufuta messages (text messages) kwani nazo huwa zinachukua nafasi kubwa haswa pale zinapokuwa nyingi!!

Nimesahau kwa android inaitwaje ila ni kama wanavyo jailbreak iphone nawe waweza fanya hivyo na kufuta builtin app ambazo huzitumii ili kuongeza nafasi..!!"
 
asante sana ndg The Tan-talizer...kuna ukweli na ulilozungumzia.acha nijaribu ku unstall apps ambazo sizitumii mara kwa mara.
 
Last edited by a moderator:
asante sana ndg The Tan-talizer...kuna ukweli na ulilozungumzia.acha nijaribu ku unstall apps ambazo sizitumii mara kwa mara.

Usije pata hasara ukawa ume uninstall nyingi alafu ukakuta tatizo lipo vile vile!! Hakikisha unayoifuta ipo kwenye phone memory
 
Last edited by a moderator:
C6 nakushukuru kwa effort yako ku printscreen hiyo image.kwa apps ambazo nimedownload toka google store,instagram ikiwemo sina tatizo nazo,zenyewe zinaenda moja kwa moja kuji-install ktk sd card as per my own settings.issue ni zile pre installed apps ambazo huja sambamba na os ya cm kama nilivyo eleza ktk thread yangu hapo juu.so far imebidi tu nikubali ushauri wa The Tan-talizer tho bado nitaendelea kutafiti zaidi.one
 
pre installed uwa hazihami, labda updates zake ndo uwa zinahama, izo tayari uwa zinakuwa zimeshahesabiwa space yake
 
pre installed uwa hazihami, labda updates zake ndo uwa zinahama, izo tayari uwa zinakuwa zimeshahesabiwa space yake

vizuri sana kaka,nimekuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…