B Bayyo JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,819 Reaction score 2,920 Aug 4, 2014 #1 nina simu aina ya sumsung duos,wk iliyopta imezima na nikiwasha inabaki maandishi ya sumsung kweye screen, baad ya hapo hakuna kinachoendelea. naombeni msaada km kuna mtu alishawahi kupatatatizo km hilo au mwenye ujuzi tafadhali. thanks
nina simu aina ya sumsung duos,wk iliyopta imezima na nikiwasha inabaki maandishi ya sumsung kweye screen, baad ya hapo hakuna kinachoendelea. naombeni msaada km kuna mtu alishawahi kupatatatizo km hilo au mwenye ujuzi tafadhali. thanks