Nataka nijue kama wameshaanza kupokea maombi kwasababu walisema wataanza kupokea mwishoni mwa mwezi wa sita. Halafu kila nikifungua inasema server not found...
Subiri TCU wafungue system maana NACTE ni ubabaishaji mwingi maana walioomba kuanzia machi bado hawajatoa na sababu hawaelezi hata muda waliosema umepita,kuna uwezekano hata TCU wakatoa haraka zaidi ya NACTE ingawa hao hata kutangaza bado,namaanisha TCU wako smart zaidi ya NACTE.
Nataka nijue kama wameshaanza kupokea maombi kwasababu walisema wataanza kupokea mwishoni mwa mwezi wa sita. Halafu kila nikifungua inasema server not found...
Ntandu ulikuwa wapi. NACTE walifunga mwezi wa 5 31st, baadaye wakaongeza siku tatu mpaka 3/6/2020. Ulikuwa wapi? Subiri labda wanaweza kutoa nafasi waliochelewa may/june waka apply. I guess TCU ni direct from six na in service with the required qualifications. Wewe ni direct form 4! You do not qualify for TCU application