Msaada wakuu. "Microsoft Setup bootstrapper has stopped working"

Acehood

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,668
Reaction score
2,852
Habari za mchana wakuu. Samahani kila ninapo install Microsoft office 2007 kwenye kompyuta yangu naletewa huu ujumbe " Microsoft setup bootstrapper has stopped working".
Nimejaribu kubadili setup zaidi ya mara tano bado shida Iko palpable.

Leo nimeamua kupiga window upya lakini bado hii shida haijaisha.

Naomba msaada wa Nini nifanye wakuu maana hii kompyuta ni ya ofisini (stationery)

Asante.
 
unatumia window ipi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…