Nkungulume JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 2,987 Reaction score 1,210 May 28, 2017 #1 Habari wana jamvi nataka nijue kuhusu benk ya nmb ukiachilia tawi la mlimani city ni tawi gani linalofanya kazi j2?
Habari wana jamvi nataka nijue kuhusu benk ya nmb ukiachilia tawi la mlimani city ni tawi gani linalofanya kazi j2?
Aniko JF-Expert Member Joined Jan 3, 2016 Posts 1,766 Reaction score 960 May 28, 2017 #2 Ni hilo tu hakuna jingine kwa Dar.
kalou JF-Expert Member Joined Aug 22, 2009 Posts 4,992 Reaction score 3,882 Aug 16, 2017 #3 Nkungulume said: Habari wana jamvi nataka nijue kuhusu benk ya nmb ukiachilia tawi la mlimani city ni tawi gani linalofanya kazi j2? Click to expand... Tandika,kariakoo na Tegeta kibo complex
Nkungulume said: Habari wana jamvi nataka nijue kuhusu benk ya nmb ukiachilia tawi la mlimani city ni tawi gani linalofanya kazi j2? Click to expand... Tandika,kariakoo na Tegeta kibo complex
N Ngariba1 JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 1,909 Reaction score 4,051 Aug 16, 2017 #4 Mkuu kifaa ulichotumia kuingilia hapa ungekitumia kuingilia website ya NMB ungepata majibu yote. Watanzania tuache uvivu.
Mkuu kifaa ulichotumia kuingilia hapa ungekitumia kuingilia website ya NMB ungepata majibu yote. Watanzania tuache uvivu.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 63,018 Reaction score 77,360 Aug 16, 2017 #5 kalou said: Tandika,kariakoo na Tegeta kibo complex Click to expand... Thread Closed! πππππ
kalou said: Tandika,kariakoo na Tegeta kibo complex Click to expand... Thread Closed! πππππ