L Lucas Mganda JF-Expert Member Joined Mar 13, 2016 Posts 254 Reaction score 182 Jun 28, 2016 #1 Kuna vijana mwaka Jana hawakupewa kujaza zile fomu za kujiunga na kidato cha tano na vyuo ila wamefaulu vizuri wengine wanadaraja la I na II je wafanye nini ilikupata nafasi kwenye shule za serikali?
Kuna vijana mwaka Jana hawakupewa kujaza zile fomu za kujiunga na kidato cha tano na vyuo ila wamefaulu vizuri wengine wanadaraja la I na II je wafanye nini ilikupata nafasi kwenye shule za serikali?
B Bacary Superior JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 3,718 Reaction score 1,515 Jun 28, 2016 #2 sidhani