mwalidebe
JF-Expert Member
- Mar 27, 2016
- 426
- 251
Mwanangu amezaliwa Mkoani Morogoro Turiani sehemu inaitwa Sagasa. Alizaliwa 2013 hapo alipozaliwa hakuna zahanati wala hospitali,alizaliwa nyumbani. Kwa sasa mimi niko Dar es salaam,nimekwenda kufuatilia cheti cha kuzaliwa ili mwanangu nimwandikishe darasa la kwanza maana bila kuwa na cheti cha kuzaliwa mtoto hapokelewi. Sasa nimekwenda wanasema wanataka tangazo nawaambia mtoto hana tangazo hawanielewi je nifanyaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app