KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
Wanajukwaa la Tech heshima iwe kwenu natumai mko poa niko hapa kuwaulizeni juu ya hii kitu juzi nilimpigia mtu simu asiyenifahamu kabisa wala hakuwa na namba yangu ya simu lakini cha ajabu alipokea simu na kuniita jina langu moja kwa moja kama vile tulikuwa tumekwishafahamiana.
Hii kitu aliwahi kuniambia rafiki yangu kwamba kuna ndugu yake alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya bia alikuwa na simu ya aina hiyo akadai kwamba simu za aina hiyo huwa wanapewa na kampuni.
Tafadhali mwenye uelewa na hili mwanga wako tafahali.

Huwa inaanza na Whatsspp ikikosa inaenda kwenye FBinaonekana hii app ni nzuri, lakini nina swali:
linachukua jina gani? id ya whatsapp? fb? au uliojisajiria kwa wakala wa mtandao??
msaada hapo.
cc Black Hawk Kang Wakutu Precise Pangolin elmagnifico
Inacopy address book za watu, so kwa mfano mimi nikiinstall true caller na kwenye address book yangu nina namba ya john basi john akimpigia mtu yoyote hata ambaye hajui ni nani True caller inaweza kumwambia ni nani kwa vqile ina copy ya contacts zangu.inaonekana hii app ni nzuri, lakini nina swali: