Msaada wadau

TihZ

Senior Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
158
Reaction score
26
Nina smartphone,Huawei Y300 tatizo lake imekuwa inaniletea ujumbe huu "Unfortunately, the process com.google.process.gasps has stopped" kiasi kwamba nashindwa kuitumia kabisa na nimejaribu factory reset lakini bado city havifutiki. Mwenye wazo/msaada naomba nisaidiwe.
 

Attachments

  • IMG_20150414_141940.jpg
    146.3 KB · Views: 286
Yap hata Samsung huwa zinaleta lkn ni temporary kama ikiwa endelevu.... Just flash it
 
Hata yangu huleta hiyo kitu ninachofanya na updet, inakua ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…