Wahi police utoe taarifa na pia uende kwenye ofisi kuu za mtandao uliokuwa ndani kama ni tigo,voda,airtel etc na huko kote usikubali kupewa majibu ya kirahisirahisi. Wakati huohuo pia pitia website ya blackberry wana ushauri wa namna ya kurudisha simu iliyopotea.