MSAADA WADAU

newbiee01

Senior Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
100
Reaction score
23
Naimani kna watu wana experience na masomo ya arts na wengine wamesoma ayo lkn nauliza kwa mwanafunzi aliye soma HKL ni kozi gani nzur ya kusoma yenye soko TANZANIA na vyuo vzr vyeny kutoa hizo kozi??
 
Kozi ni nyingi tu. Kwani unapenda nini hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…