Dah hebu ngoja nione kama itasaidia, imenizingua vibaya mno yani!nenda local disk c kisha program files kama ni 64bit utaona program files mbili, tafuta zote hio office.
ukiipata kwenye icon ya word au excel right click kisha i send iende desktop.
pengine wakati wa kuinstall uli untick desktop icon na start menu.
Kama umefanikiwa au la, tueleze tupate kujifunzaDah hebu ngoja nione kama itasaidia, imenizingua vibaya mno yani!
Msaada kitonga aisee, me window 10 inahitaji Key, naweza fanyaje kumaliza tatizo,ni Mara ya kwanza kuitumianenda local disk c kisha program files kama ni 64bit utaona program files mbili, tafuta zote hio office.
ukiipata kwenye icon ya word au excel right click kisha i send iende desktop.
pengine wakati wa kuinstall uli untick desktop icon na start menu.
hio laptop yako haina sticker au logo ya windows? kama ipo ni ya windows gani?Msaada kitonga aisee, me window 10 inahitaji Key, naweza fanyaje kumaliza tatizo,ni Mara ya kwanza kuitumia
kama ni xp hutaweza tumia ku activate.Ni desktop hope ni Xp,na kazi inapiga kama kawaida software zinarun bt kuna notification hua inakuja kua ni activate
Aisee njia hio haikufaa meanwhile niliamua kufanya system updates wazee finally imekaa sawa. Ilikuwa inastack stack vibaya ila now kitu rainiii hadi nacheka cheka tu nikiitumia.Kama umefanikiwa au la, tueleze tupate kujifunza
Hii nmeifanya baada ya update it has worked man though kabla ilikuwa inagoma inasema unknown publisher wa application, not compatible. Btw shukurani sana chief!nenda local disk c kisha program files kama ni 64bit utaona program files mbili, tafuta zote hio office.
ukiipata kwenye icon ya word au excel right click kisha i send iende desktop.
pengine wakati wa kuinstall uli untick desktop icon na start menu.
Thanks bossTumia patcher ya windows 10 ya KMspiCo