John Allex
Member
- Oct 12, 2015
- 10
- 2
Mimi nimehitimu kidato cha nne 2011 nna ufaulu wa masomo ya sayansi kasoro chemistry nmefeli .,je naweza kupata chuo cha serikali cha pharmacy nkasomee ngazi ya cheti....tafadhali mwenye uelewa na hili anijuze ..