Msaada wadau Nokia 6120c

Theodore Bagwell

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
940
Reaction score
226
Natumia nokia 6120c. Phone memory imejaa kiasi kwamba hata sms kuingia ni shida. Msaada wadau. Mwanzo phone memory ilikuwa MB 15. Lakini sa hv ina KB 45. Na sijui tatizo ni nini?
 
Tatizo si ndio imejaa sasa?...Ufute baadhi ya vitu ama?...
 
weka memory card
.
Kama ipo nenda kwenye massage alafu change storage location to memory card sio phone memory
.
Then remove kila kitu ulicho install kwenye phone memory
.
Iki kugomea fanya hiv ku wipe kila kitu Press these
buttons * + 3 + call + Power on
your phone.
.
Then sms uwe una store kwenye sdcard sio phone memory
 
Tatizo si ndio imejaa sasa?...Ufute baadhi ya vitu ama?...

Ni kweli imejaa. Lakini hakuna kitu nilichoinstall cha kuweza kufuta.Lakini nahisi ni pale nilipoanza kuitumia kwenye JF as a guest na sa hv as a member
 

Aksante mkuu. Ngoja nijribu
 
Mmmmh simu za kipindi hicho ata jk hajaingia madarakanii mb 15 tu ndogo sana futaa mapicha ayo na inbox yakko ifute pia apo itaweza kukusaidia?.
 
Mmmmh simu za kipindi hicho ata jk hajaingia madarakanii mb 15 tu ndogo sana futaa mapicha ayo na inbox yakko ifute pia apo itaweza kukusaidia?.

.
Alafu kwenye net zina speed yaani ever
.
Symbian zilitisha sana bwana mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…