Ngatelefijo
Member
- Jan 7, 2014
- 20
- 3
Kama upo Dar ni pm namba yako,ntakusaidia.Ukweli kwa sasa Maduka ya Vodacom yameuzwa na yanamilikiwa na watu binafsi!hii inachangia kuwepo customer cares ambao wana upeo mdogo katika kusaidia wateja.
Tuwasiliane ntakusaidia mkuu
Angalia simu yako kama ina wi-fi. Kama haina hata uende wapi ni bure. Labda jaribu kwenda ofisi ya wakala wa samsung!!!!
Angalia simu yako kama ina wi-fi. Kama haina hata uende wapi ni bure. Labda jaribu kwenda ofisi ya wakala wa samsung!!!!
kwa maelezo ya hapo juu nunua nyingine aua rudisha ulipo nunua
unajua jamani nipo serious na ndo maana nimeomba msaada lkn huo ulionipa sio msaada bali ni uangamizaji na ukatishaji tamaa
asante Kamanda kazi, sasa kwa hapa dar wapi nitapata wakala wa samsung kama unajua walipo naomba nielekeze