Msaada wadau kuomba mkopo HESLB

Hivi na sehem ya kujaza birth verification number unajaza ipi iyo ? Au ile entry number?
 
Hivi na sehem ya kujaza birth verification number unajaza ipi iyo ? Au ile entry number?
Kama ulisha certify cheti chako Cha kuzaliwa ingia kweny account yako ya Rita na utakuta namba inayoisha na -BV , hiyo ndio birth verification number
 
Birth verification number inayo ishia na BV
 
Birth verification number inayo ishia na BV
Screenshot utume hapa, si ulishafungua account kawaida ya kuomba mkopo na vipengele vingne umekamilisha, hicho ni kipengele Cha demographic information
 
Naomba kuuliza ....
Nimemalizia Kila kitu lakini nikienda kwenye preview ikikaa baada ya sekunde kama 10 inasema "You have incomplete step in your application"

Pamoja na pale sehemu ya kuidownload form japo form nimedownload issue Tena imekuja wakati wa ku attach inaleta ujumbe huo huo na nimeipitia kote naona kijani tu hamna shida mahali.
 
Fungua kipengele kimoja kimoja Kuna vipengele vnavyohitaji ubonyeze confirm
 
Hiyo birth verification number lazma izungke ukiingiza na ilete jina lako kamili , majina lazima yaendane
Na hiyo namba cio entry namba hapana , ingia katika account ya Rita uliotumia kufanya certification ya cheti Cha kuzaliwa ndio utaipata huko
 
Yako sahii mbona na hata cheti walirudisha nika kidwonload kiko veryfied
 
Issue simple tu hapo kiongozi....

Usioandike hiyo namba manually .........nenda pale Rita ukishaingia ," icopy" then uje uipaste hapo.........

Usiiandike manually na kama ukifanya hivyo kua makini sababu Kuna mahala Kuna sifuri (0)na Kuna mahala kuna Alphabet "O" .......ziangalie vizuri Tena.

Ukimaliza kunywa soda ushushe pumzi moyo uelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…