Una alama(point) 7 katika combination yako ya PCM, hivyo unaangukia kwenye kundi la moderate schools kama vile Tosamaganga, Minaki, Njombe, Milambo, Old Moshi, Songea Boys, Pugu, Usagara, Nsumba na nyinginezo. Pia waweza chagua Technical School kama Ifunda Technical, Iyunga Technical, Moshi Technical, Tanga Technical, Musoma Technical na Mtwara Technical. Kila la heri ndugu.