Usiwe mvivu kaka uwe unagoogle maana hivyo vitu vimejadilwa sana humu jamii Forums na solution zishatolewa kwa sana so Unapoona kimya ujue wadau wameshachoka kuulizwa kitu kile kile daily.
Unapotafuta kitu na google anza na Jamiiforums.com mfano:- jamiiforums.com windows loader alafu pitia kila topic utapata jibu la utafutacho.