Yap ni jambo la busara, ila ni vyema kwanza angalia key zako kama zipo za windows genuine.
How To Recover Windows 8/8.1 Product Key From BIOS
Ukizipata ziandike mahali, update kwenda 8 then update kwenda 10.
Kuzipata hizo windows itabidi uwe na internet nzuri maana zinakuwa around gb 3. Au unaweza mtafuta mtu wa karibu yako akakupa