Msaada wa window 7 ultimate activator keys

Msaada wa window 7 ultimate activator keys

goodhearted

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
1,021
Reaction score
1,268
kupitia jukwaa hili nilitoa thread kuhusu namna ya kuinstall window katika laptop yangu.

Nashukuru wadau wote mlionishauri mpaka nimefanikiwa kuweka window nyingine baada ya iliokuwepo kucollapse

Tatizo jingine lililojitokeza ni kuwa nimepewa siku 30 tu za kuactivate window.

Hivyo naomba mwenye window activation key au program ya kuactivate wndow 7 ultimate anisaidie tafadhari

Natanguliza shukrani kwenu
 
mkuu unaweza kuiuplodoad hapa nami nikaidownload, au waweza nitumia kwa pm
 
Back
Top Bottom