LuisMkinga JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 3,394 Reaction score 6,550 Jan 3, 2016 #1 Habari, nimefanya biashara ya barafu kwa fridge za home naona zimenikolea. Sasa mwaka huu nataka kutanua biashara ninunue standing freezer. Je kama kuna MTU anayauza/ au anafahamu brand nzuri? Nb. Nimezunguka kariakoo nimekuta bei juu sana.
Habari, nimefanya biashara ya barafu kwa fridge za home naona zimenikolea. Sasa mwaka huu nataka kutanua biashara ninunue standing freezer. Je kama kuna MTU anayauza/ au anafahamu brand nzuri? Nb. Nimezunguka kariakoo nimekuta bei juu sana.
brenda18 JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 5,687 Reaction score 5,301 Jan 3, 2016 #2 Bei ya juu sana ndio sh ngapi huko kkoo @LuisMkinga
LuisMkinga JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 3,394 Reaction score 6,550 Jan 3, 2016 Thread starter #3 900000
Vitaimana JF-Expert Member Joined Nov 2, 2013 Posts 3,531 Reaction score 1,570 Jan 30, 2016 #4 LuisMkinga said: 900000 Click to expand... Hi soko la barafu limekaeje? Can we talk abit
LuisMkinga JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 3,394 Reaction score 6,550 Feb 7, 2016 Thread starter #5 Ni pm nkueleze. Ila kifupi bora uwekeze kwenye barafu kuliko bodaboda kama tu umeish eneo lenye uhakika wa umeme
Ni pm nkueleze. Ila kifupi bora uwekeze kwenye barafu kuliko bodaboda kama tu umeish eneo lenye uhakika wa umeme
amezidi Member Joined Jan 18, 2016 Posts 53 Reaction score 20 Feb 7, 2016 #6 LuisMkinga said: Ni pm nkueleze. Ila kifupi bora uwekeze kwenye barafu kuliko bodaboda kama tu umeish eneo lenye uhakika wa umeme Click to expand... Kwa umeme huu huu tanesco na luku Yao? Au mkuu we wafanyaje??
LuisMkinga said: Ni pm nkueleze. Ila kifupi bora uwekeze kwenye barafu kuliko bodaboda kama tu umeish eneo lenye uhakika wa umeme Click to expand... Kwa umeme huu huu tanesco na luku Yao? Au mkuu we wafanyaje??
LuisMkinga JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 3,394 Reaction score 6,550 Feb 7, 2016 Thread starter #7 Yap budget yangu ni Umeme wa 100000.
LuisMkinga JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 3,394 Reaction score 6,550 Feb 7, 2016 Thread starter #8 Kwa mwezi means kwa siku naweka kama buku 3 ila inakaa Umeme had I siku 40