Msaada wa watsapp kwenye nokia n9

Lazmas

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
561
Reaction score
111
Wandugu naombeni msaada wa jinsi ya ku install watsapp kwenye simu tajwa.Nimejaribu kuinstall kupitia wazapp lakini inafeli kuactivate kwani ninaambiwa kuwa hiyo version ya wazap imepitwa na wakati.Naombeni msaada tafadhali.
 
Hiyo meego haina whatsapp ila kuna open source project ambayo ni altenative ya whatsapp inaitwa Wazzap

Tuliisha ijaribu hapa na Mkuu wa chuo Ikashindikana kwenye Registration !
 
Last edited by a moderator:
mimi nimeisntall muda si mrefu sana kwenye n9 fanya hivi,

eka wazzap kwenye n9 yako omba registration kwa sms itafeli, then piga kwa simu itafeli itakwambia jaribu baada ya lisaa limoja then itakupa kibox cha kueka code iache kama ilivyo.

tafuta simu nyengine yenye whatsapp lakini haijaekwa whatsapp bado idownload whatsapp hlafu eka ile namba ya simu ambayo ipo kwenye n9 code itatumwa kule kwenye n9, kama haitaenda jaribu baada ya hilo lisaa itaenda tu kwenye n9, then chukua ile code halafu eka kwenye n9 yako huraaay itakubali.

hii njia niliigundua mwenyewe baaada ya kukosa solution net,

pia hio wazzap inazingua kutuma media hivyo kama unataka kutuma kitu inabidi kushare kutokea gallery
 
Hiyo meego haina whatsapp ila kuna open source project ambayo ni altenative ya whatsapp inaitwa Wazzap

Tuliisha ijaribu hapa na Mkuu wa chuo Ikashindikana kwenye Registration !
ni kweli hiyo issue imeshindikana mpaka imebidi nitulie tu bila ya whatsapp... Harmattan meego os ni type kama linux operating system ambapo application nyingi zinagoma, hata kule kwenye ovi store vitu havilingani kama ukiingia kwenye nokia yenye Symbian os...

Hizi n9 zilitoka chache halafu os yake haikuwa sawa na nokia zingine ndio maana ma developer hawakuweza ku itengenezea whatsapp, baadae nokia ndio wakaja kuingia windows phone, kuna hii n9 pamoja na ile n900 yenye os ya maemo zinazingua sana...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…