Salam Wana JF,
Kwa mkazi yeyote wa Chunya NAOMBA anisaidae kupata chumba Cha kudumu maeneo hayo.Ni masaa matatu tangia nianze kutafuta vyumba vya kupanga maeno haya na sipati.Naomba msaada.
No: 0763159108
NB;Kiwe chumba kinachofaa Kwa matumizi ya binadamu na Kiwe gharama nafuu