Habari, naombeni kujua ni hospitali gani hapa mjini Dar es salaam naweza kupata vipimo vya hormones, (vipimo hivi TESTOSTERONE, FSH, LH & PROLACTINE) kwa kutumia bima ya afya ya NHIF.
asanteni.