Msaada wa vipimo vya hii ramani

Hiyo ni kazi sio msaada,ndio maana wapo kimya,onana na mtaalamu umlipe akuwekee vipimo.
 
Tafuta fundi mzoefu wa kujenga nyumba tena awe mzuri ktk kusoma ramani... Mwambie unataka akujengee hiyo nyumba, hiyo raman anakaa nayo siku 1 tu anakuletea vipimo unajiridhisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…