tatizo hatupimi matatizo na wala hatuna uhakika nani ndo msaada halisi kwetu .. tunapenda kushirikisha watu wasio sahihi na wengi wanapenda kusikia matatizo yako tu lakini hawana mchango wowote juu ya hilo tatizo hasa kwa utatuzi .. ni vyema hata kuleta jamvini utapata walau mwanga katika maamuzi.
marafiki wengi ni wanafiki umalizapo kumweleza tayari anatamani amiliki hata bbc kwa matangazo na anaweza kuongeza hata yasiyokuwepo
Mkuu bahati mbaya tupo humu JF ila ingekuwa mtaani ningekualika sehem tuongee
Maana una ile idea marafiki walivyo siku hizi nisaidie na then ukishanisaidia au kunishauri huna tena thamani nami
Ndo marafiki wa siku hizi maana hata ukimweleza tatizo ushauri anaokupa ni wa kukuangamiza zaidi wala sio kukusaidia
yaani marafiki wamebaki ni wale wa kukutana club mnunulie bia na nyama choma piga story za wanawake na then kila mmoja aende zake hakuna la maana wala kushauriana
Ukimpata mmoja wa maana ni baada ya kuteseka miaka kadhaa
pia ni vyema ukashiriki mazoezi au matembezi au kutafuta sehemu ambazo kuna michezo ukaangalia inasaidia sana kupunguza stress .. ingewezekana kwenda beach ukapumzika na ukaanza kupanga mikakati ijayo kwani hutakiwi kuwaza yaliyotokea
"" jiepushe ulevi kwani hautakusaidia kukabili tatizo"
usijari mkuu ..
marafiki tuliona nao mradi ni rafiki lakini hatuna uchaguzi aina ya marafiki na ni muda gani nahitaji kukaa na rafiki .. wengi wetu watakuambia nina rafiki lakini kumbe ni kampani ya kwenda bar , kuongelea wanawake etc.. lakini rafiki ni yule ambaye unaweza hata akakushauri nini unatakiwa na nini hutakiwi katika maisha ya kila siku ( anachukua nafasi ya mzazi) na anatakiwa asiwe na haya katika kukurekebisha
tatizo kubwa ni kwamba mkuu hawapo tena watu wa aina hiyo
tumebaki na kuwa na washkaji ambao tunakutana ijumaa kwenda bar kupata nyama choma na bia basi
Ila ukitaka ushauri jua imekula kwako
sasa mkuu rafiki wa bar si rafiki , rafiki ni yule akufaae katika dhiki na raha .. na hasa yule anayeweza kukupa muongozo hasa kimaisha , maana mwingine anaweza akakuambia mkuu umezidi sana mahudhurio ya bar punguza lakini hawa washikaji wa kukutana nao bar hataweza kukuzuia zaidi ya kutamani kila siku uwepo apate round
Thank you bro. It's the hardest period of my life time. Nimejuta na kutambua kosa langu la kutotumia hekima aliyonijalia Mungu,labda yasingenipata..nyway, the xperienc and wisdom from Great thinkers here is highly inspiring.thnx.Duh!! Pole sana kaka, yaliwahi nitokea miaka miwili ilopita nikiwa Singida nafanya kazi, nilimpa binti kila alichohitaji, niliamini ndie angekuwa mke wangu, baadae nikahamishiwa mwanza kikazi ilibidi nimwache yy sgd ili nikaangalie khali ya upepo Mz, nikajashangaa kila nikim2mia nauri aje Mz haji! Badae akanipigia cm kuwa haniitaji ameisha OLEWA! Duh! Palikuwa pazito kiukweli, ila nilijipa moyo, nikaomba ushauri, nikatuliza kichwa. Baada ya miezi 5 Mungu akaniona, nikaondoka kuja Canada(nilipo sasa), binti nae akatimliwa na mme wake!! Akaja hadi kwa wazazi akimsingizia SHETANI ambaye hamjui sura! Nikamtosa! Hivyo ndg vumilia machungu, kaza roho, Fuata ushauri wa wana jf hapojuu, HAKIKA UTASHINDA! Ni mapito tu!! KATOSA, TOSA PIA!!
sina la kusema kaka.nafsi inanisuta hapa..let me find again the strength and power,i hope will enjoy the rest. Great edvicePole sana mkuu.kwanza uyo mwanamke ulikutana nae mazngira gan?pengine ni hayo ya kujirusha c unajua maisha ya chuo.pia huna sababu ya kudai v2 ulivompa wala kulipza kisas kwan utaishia pabaya na kushndwa kuenjoy investment uliyofanya kwnye elimu muda mref.kuna quote moja wanasema '..find strenght and power then you wil enjoy the rest..'.so 2lia by nw na anza upya with fresh mind.mkumbuke mungu pia
sina la kusema kaka.nafsi inanisuta hapa..let me find again the strength and power,i hope will enjoy the rest. Great edvice
Ndugu zangu imefikia hatua sasa sitaki kujikubali na hali hii. Nimejitahidi kusamehe na kusahau, lakini ninashindwa..
Umeongea mkuu na hilo ndio kubwa hapo kaka kuwa hakuna tena rafiki wa kukuambia hili ni baya au hili ni zuri
Wapo pale kusifia kuwa mfalme amependeza wakati yuko uchi
Kaka just take easy wengine tuliwahi kuwasomesha wachumba zetu wakatokomea hadi leo hii lakini maisha yanasonga na tumeshasahau.Chukulia kama vile umetoa sadaka tu na usije kulipa kisasi hata mara moja siku moja atakuja kujuta tu maisha ndio yalivyo usichukua uamuzi wa kijinga wa kulipa kisasi au kumfikiria sana kama ni muislam funga na kusali sana utasahu kama ni mkristo muombe mungu sana atakuongoza kwenye hiki ki[indi kigumu mimi yalinikuta last 4 years lakini now I happy family u cant even imagine.
pole sana mkuu mshukuru Mungu umepona kwenye ajali mbaya..........endelea kufanya shughuli zako sahau yote yaliyopita.......jitahidi kujichanganya na marafiki kuondoa msongo wa mawazo..........katika ulimwengu huu kuna matamu na machungu ni kipindi cha mpito wa machungu amini yatapita na maisha yatasonga mbele........usijihangaishe kumtafuta huyo dada atakuzidishia machungu
Ha ha haaa, Mi nadaiwa simu kaka mpaka polisi tumefikishanaMwanamke yeyote ambae sio mkeo wa ndoa
ni risk ambayo una take kama mwanaume,kupata au kukosa ni matokeo.....
Kwanza unapaswa kushukuru umemjua kabla hujamuoa......
Halafu zawadi ukishampa mtu ,hasa kwenye mapenzi,sio vizuri kudai.....hata kama gari....