MSAADA WA UPATIKANAJI WA KITABU ICHI

MSAADA WA UPATIKANAJI WA KITABU ICHI

Joined
Jan 8, 2018
Posts
10
Reaction score
6
Wakuu natafuta ichi kitabu cha Complete advanced biology form 5 mwandishi sir.Respicius Rwehumbiza, nimezungaka bookshops za karikoo nimekosa, na bookshops ambazo zimeorodheshwa upatikanaji ichi kitbu hakuna , mwenenacho biashara tafadhali. ( R.I.P Respicius Rwehumbiza )
Nawasilisha waugwana natumaini mrejesho kutoka kwenu Ahsanten.
 
ndio leo nakisikia, kipindi nasoma kitabu cha biology Advance tulikuwa kunatumia BS na vitini vya kina Mbuga. Ukiijua curriculum inataka nini basi hapo umefaulu.
 
ndio leo nakisikia, kipindi nasoma kitabu cha biology Advance tulikuwa kunatumia BS na vitini vya kina Mbuga. Ukiijua curriculum inataka nini basi hapo umefaulu.
Hicho hapo broh
IMG_20190717_224449.jpg
 
Back
Top Bottom