manash Member Joined Nov 10, 2013 Posts 6 Reaction score 1 May 6, 2015 #1 Habari wa wkuu! Nna Huawei mobile wifi lakini inaoparate line ya voda pekee, msaada tafadhali ni jinsi gani naweza ku_unlock ili niweze kutumia na mitandao mingine. Thankyu!
Habari wa wkuu! Nna Huawei mobile wifi lakini inaoparate line ya voda pekee, msaada tafadhali ni jinsi gani naweza ku_unlock ili niweze kutumia na mitandao mingine. Thankyu!