Fantastic Malinza Jr
Member
- Aug 23, 2013
- 9
- 5
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]Kwa njia uliyokuja nayo wala haumpati mtu hii ngoma inaliwa kimya kimya
Kwa njia uliyokuja nayo wala haumpati mtu hii ngoma inaliwa kimya kimya
[emoji15] nifafanulie na mm kuna member na nan?Halaf mbaya zaidi ni Member tu.
Ila inaonesha wa muda mref tangu 2013.
Acha roho mbaya mkuu, usipende kufaidi peke yako, kizuri kula na wenzako.kuna pim.bi mmoja linapenda misifa, litakuja na kuanika kila kitu hapa!
pambana na bando mkuu, sio na mimi!Acha roho mbaya mkuu, usipende kufaidi peke yako, kizuri kula na wenzako.
naona wamekutoa kifungoni[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
bunyebunyewanaojua ni ngumu kukuambia maana watu wa mtandao wakishajua wanaenda ziba huo mwanya
ila ww mwenyewe ni mtata pande hizo unaonekana
Bila shaka ni mitandao ya ngonoNaomba msaada.
Nikitumia lain ya Airtel huwa inakataa kufungua baadhi ya mitandao,nimejaribu kuweka hii lain kwenye simu nyengine ila hali ni ileile tu. Je,tatizo linaweza kuwa nini?
Hapana mkuu.Bila shaka ni mitandao ya ngono
Haya nimekuja!!kuna pim.bi mmoja linapenda misifa, litakuja na kuanika kila kitu hapa!
hahahah eti haya nimekuja!Haya nimekuja!!
Fantastic Malinza Jr Tafuta limodem la zantel lile la zamani Huawei EC122 jaribu na Pdproxy au Cproxy ukiona linasongesha jiongeze
Kajaribu Hiyo trick ya hapo juu then rudi tena utoe ushuhuda.Sikuhizi hamna ypenyo mwendo wa bando tu tuache kudanganyana