Share screenshot ya hiyo status ukiwa umefuta taarifa zako binafsi.
Ebu jaribu kuwapigia kwenye hiyo namba yao ya huduma kwa wateja 0734986508 naamini utapata majibu sahihi MkuuWadau, naombeni kufahamu kuhusu uhamisho wa watumishi wa UMMA. Nilipata nafasi kazi Chuo kikuu fulani hapa nchini nikaomba kuhamishia ajira yangu chuoni hapo kupitia ESS kutoka idara ya Elimu(mwalimu).
Nilifanya process zote kuanzia chini, tangu tarehe 7/2/2025, kisha ombi langu likapokelewa utumishi na status inasoma (WITHDRAW REQUEST)tangu tarehe 12/2/2025.
JE, NI NINI NIFANYE TENA? Kindly help me.
Namba haipokelewi kutwa nzimaEbu jaribu kuwapigia kwenye hiyo namba yao ya huduma kwa wateja 0734986508 naamini utapata majibu sahihi Mkuu
Mbona wengine zinapokelewa Mkuu na mie nilikuwa na inshu ya uhamisho kama yako na simu walipokea,piga siku za kazi kuanzia saa 2:00 Asubuhi hadi saa 10 JioniNamba haipokelewi kutwa nzima
Ombi mbona lipo utumishi
Sawa. Nitajaribu tena. AsanteMbona wengine zinapokelewa Mkuu na mie nilikuwa na inshu ya uhamisho kama yako na simu walipokea,piga siku za kazi kuanzia saa 2:00 Asubuhi hadi saa 10 Jioni