Msaada wa ufadhili au kazi

Msaada wa ufadhili au kazi

Kyjelly

New Member
Joined
Nov 12, 2018
Posts
3
Reaction score
1
hbari ndgu zangu ni imani yangu mnaendlea vizuri na majukumu ya kujenga taifa. Naitwa paul mwakajila naishi ukonga daresalaam Nina miaka 23 kitaaluma ni muuguzi na ukunga (nursing and midwifery) ingawa mpaka sasa aina kazi, hata hvyo vyeti vyangu vya vyote vimeshikiliwa na uongozi wa chuo kwasababu ya madeni ninayo daiwa, (Tsh 1230000) jambo hili limenitesa kwa mda mrefu pasipo kupata muafaka, nimejaribu kuomba ufadhili imeshindikana, kwa sasa najishughulisha na kazi zozote tyu za mtaani na ujenzi ilimradi nipate kula, ombi langu kwako wew usomae ujumbe huu tafadhari naomba kusaidiwa kazi yeyote ile iwe ya ofisini usafi,shambani,kutunza nyumba,houseboy,garden, sheli, dukani,kufua,kupika, kazi yeyote nipo tayari kufanya ili mradi tyu nipate pesa nikachukue vyeti vyangu. Lakin pia kam kuna yeyote anaweza kunipa ufadhili kwa masharti rafiki tafadhari naomba anisaidie. Ahsanteni san mungu awabaliki 0742812060
 
Mkuu kama vip njoo kwanza kwenye uzi wetu wa wazee wa kubet kule unaweza kupata maujuzi ukawa unatengeneza ata 15k per day nadhani haitokuwa mbaya mkuu ni mawazo tu maana umu ndani mtu wa kukupa ufadhili sidhani kama ni rahisi lakini through kubet unaweza tengeneza 15k per day na maisha yakaenda poa!!
 
Nashukuru sana aisee, mungu akubaliki Kwa ushauli
 
Back
Top Bottom