Msaada wa training ya self defence

hujiulizi kwanini hata Mayweather ana ulinzi wakati yuko fit kwenye ndondi???? Pesa ndugu.
Kwa kina Mayweather huko kila mara mapigano ya silaha ni kawaida, kitu keko tu hapo achana na USA
 
naihitaji hyo package mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
shule za sanaa za kujilinda ziko nyingi inategemea sanaa unayo itaka na umbali kutoka mahali unapoishi
Nahitaji kwa mitaa ya kinondoni au mwananyamala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…