James Mhangwa
JF-Expert Member
- Feb 3, 2017
- 604
- 513
hapo sijaelewa ni aina gani, kwa sababu nilipima katika kihospital cha private cha sponsor wangu na nilichoelezwa ni hicho tu, kwamba nahitaji upasuajiInguinal hernia, umbilical, au femoral..?
Mimi pia nina tatizo hili nina hii ya INGUINAL HERNIA nami naogopa hivyohivyo upasuaji kisa mtoto nina 27yrs sasa ,msaada plz.Inguinal hernia, umbilical, au femoral..?
Nikwamba ingunal inakaa ndani ya paja juu kidogo ya nyeti zako,umblico ni ya kitovu .........hapo sijaelewa ni aina gani, kwa sababu nilipima katika kihospital cha private cha sponsor wangu na nilichoelezwa ni hicho tu, kwamba nahitaji upasuaji
Ok mimi ipo kwenye korodani zote. Kuna mshipa mmojamnene umeingia kwenye korodani kila upande, uume umesinyaa na kuingia kwa ndani na pia sina hamu ya sex kabisa!Nikwamba ingunal inakaa ndani ya paja juu kidogo ya nyeti zako,umblico ni ya kitovu .........
Itabidi upasuliwe tuOk mimi ipo kwenye korodani zote. Kuna mshipa mmojamnene umeingia kwenye korodani kila upande, uume umesinyaa na kuingia kwa ndani na pia sina hamu ya sex kabisa!
Daah yaani hofu yangu ni hapo kwenye suala la uzazi kama ni kweli!Itabidi upasuliwe tu
Mkuu pole, unajisikiaje korodani zinauma na kufanyaje?Daah yaani hofu yangu ni hapo kwenye suala la uzazi kama ni kweli!
Asante mkuuPole sana kiongozi
zimelegea na kusinyaa sana, ila maumivu ni kidogo halafu ni mara chache, pia uume umekuwa kama wa mtoto mdogo na hausimamu barabara. Hata mwili umelegea na unakonda taratibu(hili nadhani sababu kuu ni stress).Mkuu pole, unajisikiaje korodani zinauma na kufanyaje?
Hapo hakuna ujànja, tiba ya uwakika ni upasuaji tuuuHabari za wakati huu madaktari wa JF?
Tafadhali naomba msaada wa haraka, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 ninasumbuliwa na ugonjwa wa hernia kwa muda mrefu japo dalili nimezibaini November mwaka jana.
Nilifanyiwa vipimo wiki mbili zilizopita nikaelezwa kuwa ugonjwa umekuwa sugu na kinachohitajika ni upasuaji.
Hivi sasa nipo Mwanza na natarajia kusafiri kesho kuelekea Arusha kwa ajili ya zoezi hilo.
Sasa kinachonichanganya sana, ni kwamba tangu jana kila mtu ninayeongea naye ananishauri nitumie dawa za kienyeji kwa madai kwamba upasuaji unasababisha ugumba, eti kuna uwezekano mkubwa sana wa kukosa mtoto.
Je madai haya ni kweli? Na madaktari mnanishauri vipi?
Karibuni...
Asante mkuu, dahh ugumba utaniua kwa stress masikini mimi dahh!!Hapo hakuna ujànja, tiba ya uwakika ni upasuaji tuuu
Unavyo kaa na tatizo mda mrefu ndiyo unakaribisha ugumba na dalili zimeshaanza
Hakuna dawa mbadala hata za kienyeji za kuponesha hiyo hali.
Inguinal hernia maana yake ni vitu vya tumboni vinashuka kwenye pumbu kutokana na misuli kulegea/kutanuka
Sikutishi mkuùuAsante mkuu, dahh ugumba utaniua kwa stress masikini mimi dahh!!
Sawa mkuu, naenda keshoSikutishi mkuùu
Fanya juuu chini upate huduma