Msaada wa Tecno y3 plus firmware

Msaada wa Tecno y3 plus firmware

Walec

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,364
Reaction score
3,400
Wakuu habari za mchana,,
Naomba mweny link ya firmware ya y3 plus ya 2016 aiweke hapa jukwaani...au kama unaweza nisaidia backup pia nitashukuru wakuu...files ninazokutana nazo ni za 2015 model

Hii ndio naisaka. Y3_PLUS-H721-A2-KK-TZ-TIGO-20160718
 
Okay. Simu yako build number yake ni ipi?
Mkuu simu imezima kwaiyo nilivyoread kweny miracle ndio kama hivi...
20180922_170543.jpeg
 
Mkuu simu imezima kwaiyo nilivyoread kweny miracle ndio kama hivi...View attachment 875433
Duu mi natumiaga sp flash tool sometimes unaweadza ukawa umedowmload wrong firmware kuna huawei nilibugi nika download wrong firmware ya south afrika kitu kama yani ilinisumbua kuja kugundua nika google nikakuta ili dizainiwa na nchi mbili l
 
Yaa ofcoz kunakuaga na version tofaut..sasa hii ni y3 plus ya 2016.kwaiyo hapa natakiwa nipate hyo ya 2016 ndio itakubal kuflash..ninazokutana nazo online ni za 2015

Jaribu kuangalia youtube hua wanawekaga link chini pale unaweza ukaikuta
 
Itabdi upate mtu mwenye simu kama yako akupe backup
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom